-->

Type something and hit enter

OnPichani ni msanii marufu wa kike na malkia wa music kutoka Bongo Flava nchini  akiwa katika pozi za mahaba motomoto na mchumba ake aitwae Rotimi, ambaye ni raia wa , ila makazi yake kaweka nchini .

Ila Vanessa tangu awe na mahusiano na Rotimi anaonekana kuwa na furaha, amani, na amenawiri na kuzidi kupendeza. Tofauti na alivokuwa ktk mahusiano yake ya awali.

Hii couple imetaradadi na kudamshii, Jah awe nao na awafanyie wepesi wadumu milele.Click to comment
 
Blog Meets Brand