Uchebe Amkumbuka Shilole Giza Limeingia - EDUSPORTSTZ

Latest

Uchebe Amkumbuka Shilole Giza Limeingia

Mfanyabiashara wa magari Uchebe amemkumbuka mke wake wa zamani Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwa kumwambia anamtakia maisha mema.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Uchebe amepost picha akiwa na Shilole enzi za mahusiano yao kisha akaandika 

"Happy birthday kwako Zuwena, nakutakia maisha mema na mafanikio zaidi kwenye kila harakati zako, enjoy your day mwenyezi mungu akutunze".

Haikuishia hapo kwani Shilole alifanya 'party' ya kufurahia kuongeza mwaka mwingine kwenye maisha yake ambapo kulitokea 'surprise' kibao ikiwemo kujiwazawadia gari jipya, kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa zamani Rommy na kuzimia.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.