-->

Type something and hit enter

On 


Mkurugenzi wa Leseni na Ufuatiliaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) John Daffa amesema, wana mpango wa kuondoa Mafundi Vishoka wa kutengeneza simu


Na hadi sasa wameshaanza kutoa leseni kwa wategenezaji wa simu ambao wamekidhi vigezo kutoka Vyuo husika ambavyo ni VETA na Taasisi ya Teknolojia (DIT)


Pia TCRA, ina mpango wa kujenga Kiwanda cha Kutengeneza Simu nchini ili kurahisisha upatikanaji wa Ajira kwa Wahitimu kwa ngazi ya Ufundi Stadi na kufanya Usalama wa Mawasiliano


Ujenzi wa kiwanda hicho unatazamiwa kuanza mwakani ambapo wanufaika wakuu wakiwa ni Wahitimu kutoka VETA
Click to comment
 
Blog Meets Brand