Tanzania Yapigwa na Uganda Fainali CECAFA U 17-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzania Yapigwa na Uganda Fainali CECAFA U 17-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 leo Desemba 22 imepoteza mchezo wa hatua ya fainali ya Cecafa iliyoanza kufanyika Desemba 12 nchini Rwanda na kuwa washindi wa pili.

Tanzania ilitinga hatua ya fainali baada ya kupata ushindi kwa penalti 4-3 dhidi ya Ethiopia, mchezo uliochezwa Desemba 20 nchini Rwanda mbele.

Kwenye fainali ya leo dakika 90 zilikamilika kwa Uganda kushinda mabao 3-1 Uwanja wa Rubavu,Rwanda. Licha ya kupoteza mchezo wa leo Timu ya Taifa ya U 17 imekata tiketi ya kushiriki Afcon 2021 nchini Morroco.

The post Tanzania Yapigwa na Uganda Fainali CECAFA U 17 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.