-->

Type something and hit enter

On 


Mzazi mwenzie na @diamondplatnumz, @tanashadonna amesema kuwa mwimbaji huyo kwa sasa anamuhudumia mtoto wao kitu ambacho anajivunia.


Ikumbukwe wawili hao waliachana mapema mwaka huu baada ya kujaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume na kufanya muziki pamoja.

Akizungumza akiwa nyumbani kwao Kenya, #Tanasha alimwambia mwanahabari mmoja toka nchini humo, kwa sasa anaona jitihada za #Diamond katika kumuhudumia mtoto wao tofauti na hapo awali.


“Kwa mwanaye kwa sasa analipa ada ya shule, anafanya vizuri, anafanya jitihada. Ninaona kile anachofanya kwa mtoto wake, napenda sana jinsi anafanya jitihada kuwa Baba mzuri, ninajivunia,” amesema.


Katika hatua nyingine #Tanasha amesema nyumba aliyonunua hivi karibuni hajapatiwa fedha na #Diamond bali ni katika mambo yake mengine.Click to comment
 
Blog Meets Brand