Tabwe: Yanga Wanilipe Fedha Zote, Watajuana na Fifa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Tabwe: Yanga Wanilipe Fedha Zote, Watajuana na Fifa-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

NYOTA wa zamani wa Yanga, Amiss Tambwe amesema kuwa ikiwa timu hiyo haitamlipa fedha zake za usajili pamoja na mshahara wake watajuana na Shirikisho la mpira duniani, (Fifa) kwa kuwa yeye hausiki kwenye kutoa hukumu.

 

Tambwe amesema kuwa ameambiwa na mwanasheria wake kwamba kesi yake dhidi ya Yanga ameshinda hivyo kinachotakiwa ni Yanga kumlipa fedha zake anazodai.

 

“Mwanasheria wangu ameniambia kwamba tumeshinda kesi hivyo kinachotakiwa ni Yanga kulipa hizo fedha kama hawatalipa ni wao watajuana na Fifa mimi sijui itakuaje.

 

“Tulichokifanya tumewapa akaunti namba Yanga kisha tunasubiri kuona fedha zinaingizwa. Tena zinapaswa kuingizwa zote kwa kuwa ingekuwa kidogokidogo ni wakati ule tungekubaliana ila kwa sasa hilo halipo,” .

 

Mahakama ya Usuluhishi masuala ya michezo (CAS) imeamuru Yanga kumlipa Amisi Tambwe dola 20,000 (46.4 M Tsh) pesa ambazo alikuwa anaidai klabu hiyo kama ada ya usajili na mshahara wa miezi mitatu.

 

Mshambuliaji huyo aliachwa na Yanga msimu wa 2018/19 kwa kile kilichoelezwa kuwa amechukua ubora wake. Tambwe aliondoka Yanga akiwa na madeni yake hayo ambayo klabu hiyo haikumlipa kwa wakati kiasi cha kuwashitaki CAS na chombo hicho kutoa hukumu alipwe ndani ya siku 45 kuanzia Desemba 1, 2020.

The post Tabwe: Yanga Wanilipe Fedha Zote, Watajuana na Fifa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.