-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Disemba 22, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo.

 

Kamati hiyo imeamua kuwa, kufuatia klabu ya Singida United kushushwa madaraja mawili, mchezo wa Azam Sports Federation (ASFC) namba 65 kati ya Young Africans v Singida United uliokua uchezwe Jumamosi Desemba 26, 2020 hautakuwepo, hivyo Young Africans sasa wanasubiri kucheza raundi ya nne 2021.

The post Singida Utd Yashushwa Madaraja Mawili, Yanga Yapeta FA appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand