-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amefunga bao lake la kwanza katika klabu yake mpya, Wydad Athletic ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Hassania Agadir katika mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco, maarufu kama Botola Pro Uwanja wa Mohamed V,  Casablanca.
Msuva alifunga bao la pili dakika ya 53, baada ya Muaid Salem Ali kufunga la kwanza dakika ya 43 na  Ayoub El Amloud akafunga la tatu dakika ya 90 na kwa ushindi huo, Wydad inafikisha pointi tisa na kupanda nafasi ya pili, ikizidiwa pointi moja na Raja baada ya wote kucheza mechi nne.Click to comment
 
Blog Meets Brand