-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

HABARI njema zaidi ni kwamba – Simon Msuva si tu mchezaji pale Wydad bali ni ‘Supa Staa’ baada ya vitu alivyofanya muda mfupi tu wa kuwa na timu hiyoaliyojiunga nayo mwezi huu kutoka Difaa El jadida ya Morocco pia.

Mwishoni Jumamosi alifunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Maghreb Fès, hilo likiwa bao la pili tangu ajiunge na timu hiyo – baada ya kufunga pia katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Hassania Agadir Desemba 19.

Kwa matokeo hayo, Wydad Casablanca imefikisha pointi 12 ikizidiwa moja na Raja wanaoongoza Botola Pro baada ya wote kucheza mechi tano. 


Click to comment
 
Blog Meets Brand