-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

JESHI la wachezaji 22 wa Simba leo Ijumaa Desemba 17, 2020 wamekwea pipa kuelekea Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum.

Simba imefuzu hatua ya kwanza baada ya kuitoa Plateau United ya nchini Nigeria katika hatua ya awali kwa ushindi wa bao 1-0 walioupata katika mchezo wa ugenini.Wachezaji watatu wanatarajiwa kuachwa katika msafara huo ambao ni Larry Bwalya, Charles Ilanfya na kiungo mpya Taddeo Lwanga aliyesajiliwa wiki iliyopita.

 

 

The post Simba Yawafuata FC Platinum na Full Muziki appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand