-->

Type something and hit enter

On


KLABU ya soka ya Simba imefuzu raundi ya nne ya  kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuicha timu ya Majimaji FC kutoka mjini Songea.
Magoli ya Simba yamefungwa na Gadiel 3', Mugalu 16’, Ame 60’, Kagere 78’, Miquissone 90'.


Click to comment
 
Blog Meets Brand