Simba Yafunga Mwaka Kibabe, Yaitungua Ihefu Fc 4-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Yafunga Mwaka Kibabe, Yaitungua Ihefu Fc 4-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA watetezi wa ligi kuu bara Simba, leo Desemba 30 wameufunga mwaka 2020 kibabe, baada ya  kufanikiwa kushinda mchezo wake  dhidi ya Ihefu Fc kwa Magoli 4-0 na kuvuna alama tatu muhimu kwenye uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

 

Mnyama Simba ameingia kwenye mchezo huu akiwa na kumbukumbu ya ushindi mnono wa mabao 5-0 ilioupata dhidi ya Majimaji kwenye dimba hilo jumapili ya Desemba 27.

Magoli ya Simba yalifungwa beki Mohamed Hussein dakika ya 10’ na magoli mawili yakifungwa na mshambuliaji Meddie Kagere dakika ya 16’ na 40’ na mshambuliaji aliyeingia kipindi cha pili Chris Mugalu dakika ya 84 alihitimisha karamu hiyo ya magoli.

 

Baada ya ushindi wa leo wekundu wa msimbazi wamefikisha alama 35, baada kucheza michezo 15, timu ya Yanga ambayo kesho Desemba 31 inashuka dimbani kuwakabili Tanzania Prisons inaoongoza msimamo wa ligi kwa alama 43 baada ya michezo 17.

The post Simba Yafunga Mwaka Kibabe, Yaitungua Ihefu Fc 4-0 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.