Simba: Tutawapiga FC Platinun-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba: Tutawapiga FC Platinun-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

SHOMARI Kapombe, beki wa kulia wa Klabu ya Simba amesema kuwa wanaamini watashinda kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinun utakaochezwa leo, Desemba 23 Uwanja wa taifa wa Zimbabwe.

 

Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji akisaidiana na Seleman Matola ambaye ni mzawa itamenyana na FC Platinum kwenye mchezo wa raundi ya kwanza hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Kapombe amesema kuwa wana kazi kubwa ya kufanya kwenye mchezo wao ila wanaamini watafanikiwa kwa kuwa wamekubaliana kupambana.

 

“Wachezaji kwa ujumla tumekubaliana kufanya kazi kwa juhudi kuweza kupata matokeo kwani hakuna kitu kingine ambacho tunakihitaji zaidi ya ushindi ndani ya uwanja.

 

“Tutakuwa ugenini ila haimaanishi kwamba tutakuwa wageni uwanjani hapana. Hatutakuwa wanyonge tutapambana kwa nguvu kupata matokeo,” amesema Kapombe.

 

Simba imetinga hatua hii ya kwanza baada ya kushinda kwa bao 1-0 dhidi ya Plateau FC ya Nigeria mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa New Jos Nigeria.

 

Mchezo wa pili Uwanja wa Mkapa, Simba iliweza kulinda ushindi wake na kufanya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila kufungana. Mechi zote mbili Kapombe alikuwa ni chaguo la kwanza la Sven ndani ya uwanja.

The post Simba: Tutawapiga FC Platinun appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.