-->

Type something and hit enter

On 


Mechi ya raundi ya kwanza, mkondo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika imemalizika kwa Simba SC kupoteza kwa 1-0 dhidi ya FC Platinum.

 

Mchezo huo ambao umepigwa kwenye uwanja wa taifa wa michezo jijini Harare, umeiacha Simba SC na kibarua cha kufunga magoli 2 nyumbani bila kuruhusu goli ili iweze kufuzu hatua inayofuata.


Goli pekee la FC Platinum limefungwa na Perfect Chikwende dakika ya 17 kipindi cha kwanza.


Mchezo wa mkondo wa pili utapigwa Januari 5, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.


Kikosi cha Simba SC kilichoanza leo


1. Manula 

2. Kapombe 

3. M. Hussein

4. Onyango

5. Wawa 

6. Mkude 

7. Dilunga - Miraji

8. Nyoni - Mzamiru

9. Kagere - Mugalu

10. Chama

11. Miquissone - Bwallya


Akiba: Kakolanya, Gadiel, Ame, Mzamiru, Bwallya, Mugalu, Miraji

 Click to comment
 
Blog Meets Brand