Simba Mzigoni Leo VPL-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Mzigoni Leo VPL-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

LEO Jumatano, Desemba 9, Namungo FC ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Uwanja wa Majaliwa saa 10:00. Simba pia itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania, saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkapa.

 

Mechi zote za leo ni viporo kwa sababu timu ya Namungo ilikuwa na kazi ya kuwakilisha nchi mwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Rabita ya Sudan Kusini ambapo mchezo wa awali Namungo ilishinda mabao 3-0 Uwanja wa Azam Complex.

 

Inasonga mbele baada ya Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) kuufuta mchezo wa marudio uliotarajiwa kuchezwa Desemba 6 Uwanja wa Azam Complex kutokana na wapinzani hao kushindwa kukidhi vigezo kuhusu waamuzi.

 

Kwa upande wa Simba wao walikuwa na kibarua mbele ya Plateau United, mchezo wa awali ilishinda bao 1-0 ugenini lililofungwa na Clatous Chama na mchezo wa marudio walilinda ushindi wao hivyo wanasonga hatua ya pili na kukutana na FC Platinum ya Zimbabwe.

The post Simba Mzigoni Leo VPL appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.