-->

Type something and hit enter

By On



Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB


Mchambuzi wa soka nchini, Abbas Pira amezungumzia uzito wa mchezo wa wawakilishi wa nchi katika Klabu bingwa Barani Afrika Simba dhidi ya FC PLatnum na kudai kuwa kwa mtazamo wake Mnyama Simba watapata matokeo mazuri ya magoli matatu (3) kutokana na wapinzani wao kutokuwa na kikosi cha kutisha.

 

”Simba watapata matokeo jijini Dar Es Salaam, hawa jamaa FC Platnum ni wakawaida sana. Kwangu mimi Simba atashinda magoli 3 Dar Es Salaam.”

 

The post ‘Simba Anampiga Goli 3 – 0 FC Platnum kwa Mkapa’ appeared first on Global Publishers.



Click to comment
 
Blog Meets Brand