Shamsa Ford Amshushia Ujumbe Mzito Chiddi Mapenzi - EDUSPORTSTZ

Latest

Shamsa Ford Amshushia Ujumbe Mzito Chiddi Mapenzi

 


Muigizaji na mfanyabiashara Shamsa Ford amemuandikia ujumbe mzito aliyekuwa mume wake Chidi Mapenzi kwa kumwambia amemsamehe, hana kinyongo naye na hata mmoja wapo akifariki watazikana.

Katika ujumbe huo alioandika Shamsa Ford kupitia ukurasa wake wa Instagram unaeleza kuwa  "Tulipoachana tulikuwa maadui wakubwa lakini namshukuru Mungu akaweka wepesi juu yetu, mimi na wewe hatuwezi kurudiana na haitotokea tena, kila mtu ameendelea na maisha yake tumebaki ndugu wa kusaidiana" 

"Siku nilipokusamehe Mungu alinifungulia baraka nyingi mpaka nikashangaa kumbe sikujua nilikuwa najifunga nilipobeba vitu moyoni, nimeongea mengi mabaya kuhusu wewe yote ni kwa sababu ya hasira na kidonda kilikuwa kibichi" 

"Namshukuru Mungu sina kinyongo na wewe tunaweza tukasalimiana tukikutana hata nife kesho najua utanizika na mimi nitakuzika, Mungu akusaidie upate mke mwema zaidi nilivyokuwa mimi akutunze inshaallah nitafurahi sana" ameongeza 

Shamsa Ford ameshusha ujumbe huo baada ya kuwa-post na kuwashukuru watu wake wa karibu ambao wamemtendea wema na wale walioacha alama kwenye maisha yake.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.