SARAH afanya maamuzi magumu, Avunja NDOA yake na HARMONIZE, Afunguka "Nilikupa maisha huna ADABU" - EDUSPORTSTZ

Latest

SARAH afanya maamuzi magumu, Avunja NDOA yake na HARMONIZE, Afunguka "Nilikupa maisha huna ADABU"


SARAH afanya maamuzi magumu, Avunja NDOA yake na HARMONIZE, Afunguka "Nilikupa maisha huna ADABU"


Sarah Ameandika Haya:
 
Niliolewa na wewe sababu nilikupenda, ulikuwa kila kitu kwangu na nilikuchagua kama ulivyokuwa na nikakupa mapenzi yangu yote na nilijitahidi kukupa furaha ambayo wewe hukuweza kunipatia. Siku baada ya siku nimekuja kugundua kuwa upo tofauti kabisa na huna adabu kwa mtu yeyote. Na hukujua kumtunza mwanamke kama mimi au kujivunia kwa mtu ambaye amekupa maisha mazuri. Na hujui kuheshimu watu waliokupenda na waliokuwa wanakusapoti.muda mwingi nagundua kuwa wewe ni muongo na bandia kwa kila kitu . Nimepitia mengi kwenye haya mahusiano x ndoa na kama nikiviweka vyote hapa kila mtu atashangaa sababu unasuka tofauti kabisa. Siku zote unavaa kinyago usoni pako. Sina hata maneno mengi yakusema kwa sasa .. hujawahi kushukuru hata siku moja kwaniliyokufanyia na sasa umechelewa. maisha yatakufundisha somo ambalo unastahili kwa vitu vyote ulivyonifanyia na kwasasa nitazingatia maisha yangu. Ubarikiwe na sasa upo na muda wakuwa na mwanamke yeyote umtaye njiani..
Na nikushauri: jifunze jinsi ya kuthamini na kuheshimu kile watu walichokufanyia.... I married you cause i loved you, you we’re everything to me and i chose you just the way you we’re .. i gave you all my love and I did my best for your happiness something that you didn’t do for me at all.... day by day i found you we’re e completely different and you don’t have any respect for anybody ... you didn’t even know how to keep a wife like me or to be proud of one person who give you the good life..and you don’t know how to respect people who really do love you and the ones who are there to support you... most of the time i found out that your just lie and fake it. I’ve been thrue a lot in this fake relationship x married if I put all here everyone will be shocked because you have another face kabisa. You always put mask on your face. i don’t even have more words to say and speak now ... you didn’t ever appreciate what i did for you and now is too late ... life will teach you the lesson you deserve for what you u did and now i will be focusing on my life ... be blessed now u have all the time to be with any women on the way...and I advice you learn to appreciate and respect what people they do for you.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.