Saido Akabidhiwa Jukumu Zito Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Saido Akabidhiwa Jukumu Zito Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA wa Yanga, Cedric Kaze, amesema amemuagiza kiungo mpya wa timu hiyo, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kuangalia kwa umakini namna viwanja vya mikoani vilivyo na kumtaka kuja na mbinu ambayo itaisaidia timu katika mechi za nje ya Dar.

 

Kaze amesema sababu kubwa ya kusafi ri na kiungo huyo kwenda Shinyanga ni kwa kuwa anataka ayazoee mazingira hayo mapema kabla hajaanza kuitumikia klabu hiyo, lakini kubwa zaidi atumie uzoefu wake wa kucheza soka nje na ndani ya Afrika kuja na mbinu itakayoisadia Yanga kupata matokeo mazuri kwenye viwanja visivyo na ubora mzuri.

Yanga ambayo jana ilicheza na Mwadui kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga, ilisafi ri na nyota wake huyo ambaye ilimsajili hivi karibuni, lakini bado hajaanza kuitumikia hadi usajili wa dirisha dogo utakapofunguliwa Desemba 15, mwaka huu.“

 

Niliamua kusafi ri na Said kwa sababu nilitaka ayafahamu mazingira ya viwanja vya huku mikoani, kwa sababu pale anapofanya mazoezi na wenzake kuna kitu atakuwa anagundua nini anatakiwa afanye akiwa kwenye viwanja hivyo.

 

“Kubwa zaidi nilimuagiza achunguze kwa umakini mazingira ya viwanja hivyo kwa kutumia uzoefu wake, kwani akipata kitu huenda ikawa na faida kwangu kama mwalimu pamoja na timu kwa jumla kwa sababu bado tuna mechi nyingi ambazo tutacheza ugenini,” alisema Kaze.

Stori: ISSA LIPONDA,Dar es Salaam

MANARA – “YANGA WAMENIPIGIA SIMU, NIMEFARIJIKA SANA”

The post Saido Akabidhiwa Jukumu Zito Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.