Sadio Mane Atoa Gundu Anfield-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Sadio Mane Atoa Gundu Anfield-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

SADIO Mane, nyota wa Klabu ya Liverpool raia wa Senegal alifikisha bao lake la 6 ndani ya Ligi Kuu England wakati timu yake ikilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya West Brom.

 

Wakiwa Uwanja wa Anfield Mabingwa hao watetezi waliruhusu bao dakika za lala salama kwa kuwa walianza kushinda mapema kipindi cha Kwanza.

 

Bao la Mane ambaye ambaye yupo nafasi ya pili kwa utupiaji ndani ya Liverpool kinara akiwa ni Mohamed Salah mwenye mabao 13 lilipachikwa dakika ya 12 na lile la West Brom lilipachikwa na Semi Ajayi dakika ya 82.

 

Sare hiyo unaifanya Liverpool ambao ni Mabingwa watetezi kuongeza pointi moja na kufikisha jumla ya pointi 32 nafasi ya Kwanza huku West Brom ikiwa nafasi ya 19 baada ya kusepa na pointi moja ndani ya Anfield na kufikisha pointi 8.

The post Sadio Mane Atoa Gundu Anfield appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.