-->

Type something and hit enter

On 


Kapteni Salah Salim Jeizan ambaye ni Rubani wa Shirika la Ndege la #KenyaAirways amefariki Dunia kutokana na Virusi vya Corona


Kapteni Jeizan (57) aliwasili Uwanja wa Ndege wa Heathrow, #London akitokea Kenya na alipata changamoto za upumuaji akiwa hotelini na kukimbizwa Hospitali

Anakuwa rubani wa pili wa KQ kufariki kwa #COVID19 baada ya Kapteni Daudi Kibati kufariki mwezi Aprili. Tangu kuanza kwa mlipuko huo nchini #Kenya, Watumishi mbalimbali wa sekta ya anga wamegundulika kuwa na maambukizi
Click to comment
 
Blog Meets Brand