-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Karim Benzema, Luka Modric na Lucas Vazquez yameipa ushindi wa 3-1 Real Madrid dhidi ya Eibar ambayo bao lake lilifungwa na Kike kwenye mchezo wa LaLiga usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya IpurĂșa, 
Kwa ushindi huo katika mchezo wa 14 wa msimu, kikosi cha Zinedine Zidane kinafikisha pointi 29 sawa na vinara, Atletico Madrid ambao lakini wana mechi mbili mkononi
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand