RASHFORD APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA SHEFFIELD 3-2 BRAMALL LANE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

RASHFORD APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA SHEFFIELD 3-2 BRAMALL LANE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI Marcus Rashford jana amefunga mabao mawili dakika ya 26 na 51, Manchester United ikitoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bramall Lane.
Bao lingine la Manchester United lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 33, wakati mabao ya Sheffield United yalifungwa na David McGoldrick dakika ya tano na 87.
Kwa ushindi huo, kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kinafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi 12 na kupanda hadi nafasi ya sita kutoka ya 10, ikizidiwa pointi tano na vinara, Liverpool ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi 

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.