-->

Type something and hit enter

On
Nyota wa Kikapu nchini Marekani LeBron James amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na Los Angeles Lakers, mkataba wenye thamani ya ($85 million) ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi msimu wa mwaka 2022-2023.


Kwa mujibu wa ESPN, mkataba huu mpya unamuonesha LeBron James akilipwa kiasi kikubwa cha fedha kwa dakika hadi miaka miwili;


Kwa dakika 1 atakuwa akilipwa ($82) sawa na TSH. 190,158


Kwa Saa 1 atalipwa ($4,891) sawa na TSH. Milioni 11


Kwa Siku 1 atalipwa ($117,397) sawa na TSH. Milioni 272


Kwa Mwezi Mmoja atalipwa ($3.57M) sawa na TSH. Bilioni 9


Kwa Miaka 2 ya mkataba wake atalipwa ($85.7M) ambazo ni sawa na TSH. Bilioni 197Click to comment
 
Blog Meets Brand