-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

ARSENAL jana imeitandika Rapid Wien 4-1 katika mchezowa Kundi B UEFA Europa League usiku Uwanja wa Emirates, London.
Mabao ya Arsenal inayofikisha pointi zake 15 na kuendelea kuongoza Kundi B kwa pointi sita zaidi ya Molde FC, mabao yake yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 10, Pablo MarĂ­ dakika ya 18, Eddie Nketiah dakika ya 44 na E. Smith Rowe 66, wakati la Rapid Wien lilifungwa na Koya Kitagawa dakika ya 47 


Click to comment
 
Blog Meets Brand