-->

Type something and hit enter

On 
Msanii Official Nini amesema kwa sasa hayupo tena kwenye mahusiano na boss wake Nay wa Mitego, ila huwa ana-post picha akiwa naye kwa sababu hutaka kumrusha roho mwanamke mpya wa Nay wa Mitego.

 

Official Nini ambaye yupo chini ya lebo ya 'Free Nation' inayomilikiwa na Nay Wa Mitego amesema mapenzi yao yameisha muda mrefu sana na kwa sasa kinachoendela ni kumsimamia kwenye upande wa kazi.


"Ile picha ilikuwa ni ya muda mrefu nilijisikia tu kumchokoza wifi, mimi sina mke mwenzangu maana naogopa nisije nikaribu ndoa za watu, yule wa sasa hivi ni wifi yangu kwa boss wangu siku nikikutana naye nitamwambia ampende sana boss wangu hicho ndicho kikubwa" amesema Nini Click to comment
 
Blog Meets Brand