Mwimbaji wa Nigeria Omah Lay amefunguka kwa mara ya kwanza sakata lake la kukamatwa nchini Uganda - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwimbaji wa Nigeria Omah Lay amefunguka kwa mara ya kwanza sakata lake la kukamatwa nchini Uganda


Mwimbaji wa Nigeria Omah Lay amefunguka kwa mara ya kwanza sakata lake la kukamatwa nchini Uganda. Amesema alichukuliwa kama Jambazi sugu kipindi yupo rumande.


Omah Lay na mwimbaji mwenzake Ms. Tems walikamatwa na kufikishwa mahakamani wakishtakiwa kwa makosa ya kukiuka kanuni za COVID-19 nchini humo mara baada ya kufanya onesho la muziki mnamo (Dec. 13)


Kwenye mfululizo wa tweets zake Omah Lay ambaye tayari ameachiwa huru na kurudi Nigeria, amesema "Siku chache zilizopita zimekuwa ni siku ngumu sana katika maisha yangu. Nilikuwa kwenye nchi yenye watu wazuri, kilichofuata ni kuchukuliwa kama jambazi sugu." ilisomeka tweet ya Omah Lay.


"Pia nataka kutoa ufafanuzi wa sakata hili, kabla ya kuja Uganda, Ma Promota walithibitisha kwamba wamehakikisha kila kitu kipo sawa na vibali vyote ikiwemo kanuni za COVID-19"


"Kwa hatua hiyo, wajibu wangu ulikuwa ni kufika na kuwa tayari kupelekwa kwenye ukumbi na kuburudisha, kitu ambacho nilikifanya kwa uangalizi wa polisi."Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.