-->

Type something and hit enter

On
Futa matarajio ya kuisubiri album mpya ya Rihanna na nakuomba uweke matarajio mapya ya kukisubiri kitabu chake kipya cha mapishi.


Mwimbaji Rihanna (32) ameweka wazi kwamba anafanyia kazi uandishi wa kitabu chake cha mapishi ambacho kimeshawishiwa na muda wake wa ziada ambao ameupata kipindi cha janga la Corona ambapo ameutumia zaidi akiwa jikoni.


Kwenye mahojiano na Jarida la Uingereza Closer, Rihanna amesema kitabu hicho kitajaa mapishi yake pendwa toka ukanda wa Caribbean ambayo yanamkumbusha nyumbani kwao visiwa vya Barbados.Click to comment
 
Blog Meets Brand