Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya amsweka ndani mtumishi wa Serikali kwa utapeli wa Q Net (+Video) - EDUSPORTSTZ

Latest

Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya amsweka ndani mtumishi wa Serikali kwa utapeli wa Q Net (+Video)

Mkuu wa Wilaya ya Hai,Mhe. @lengai_ole_sabaya ameingilia kati sakata la @qnetintanzania na Wananchi, Baadhi ya Wananchi na walimu wameeleza namna walivyochukuliwa fedha zao kinyume na utaratibu,hali iliyopelekea DC Sabaya kuchukua hatua na kuagiza kuwekwa  ndani Mtumishi wa Serikali katika Manispa ya Moshi kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli.

Mkuu huyo wa Wilaya ya Hai Ole Sabaya amesema uamuzi huo umetokana na madai ya Walimu wapatao tisa kulalamika kutapeliwa na Taasisi inayojihusisha na biashara mtandaoni ya Q-Net.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.