Mashabiki Waupokea Wimbo Mpya wa Rosa Ree Kwa Ukubwa..Wamshauri Afanye Dancell Zaidi Kuteka Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Mashabiki Waupokea Wimbo Mpya wa Rosa Ree Kwa Ukubwa..Wamshauri Afanye Dancell Zaidi Kuteka Dunia


Mashabiki Waupokea Wimbo Mpya wa Rosa Ree Kwa Ukubwa..Wamshauri Afanye Dancell Zaidi

Wimbo wa That Gal ulioachiwa Jana na Mwanamuziki Rosa Ree unaweza kuwa umefungua milango mingine katika anga za style ya dancehall , kwani mashabiki wengi wamependa alichokifanya katika wimbo huo na kumshauri abaki upande wa miondoko hio zaidi

Hizi Hapa Baadhi ya Comments kutoka youtube:


Kim Amour "Wherever you are Sis Rose all the way from zanzibar am saying you are the best .I do believe if you will run into dancehall you gonna reach the corner of the world trust dis as you trust your self.jah bless you RL❤do trust on you Dada"

Cliff Mukkys "This is next level!.....keep doing the dancehall type music!..under rated like burnaboy wen he had just started!....All the way to the top..."


Dk Chelsea Don "A dancehall vibe from My crushie 😍😍😍.... A good way to close the Year ,,, Very nice tune 🔥🔥🔥"

george burchard "Rosa ree wee umeshashindikana! Wala sio level za tz Tena! Nakuombea kila la kheri milango mikubwa zaidi ifungunge! Unastahili zaidi ya hiki unachopata Sasa!"

Karim Chindema "Mmmh! Ili goma unaweza lia ugali bila mboga ....  Hata uwe mkubwa vp unaisha"


Lawrence Jacob "Rosa ree should market her work internationally. It seems locals don't understand her. She's a real vibe. This girl  is a dupe.


WABABA SOMEBOY "Nasikilizia kila saa nasisimka kila mstari ninaousikia kwenye wimbo🔥🔥🔥🔥 nasikia fahari nchi yangu kuwa na wewe! Mwimbo mkubwa sanaaaaa kuliko umri wako. Hongera sana Rosa ree Mungu aingilie kila ufanyacho"


lusekelo ibrahim "fantastic, awesome, hot, song of the year appreciate...."

La fredoh "Listened to it more than once! Na bado nasikiliza...Gonga like kama na wewe ni kama mimi!"


Tazama Vimbo Wenyewe Hapa chini: Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.