-->

Type something and hit enter

On

Mbunifu wa mavazi hapa Tanznaia @martinkadindaofficial ambaye ndio alikuwa mmoja ya wabunifu wa kwanza kuanza kufanya kazi na @diamondplatnumz amezungumza kuhusu mafanikio ya @diamondplatnumz kwa sasa ambapo amemfananisha na mrehemu mkali wa POP duniani Michael JacksonMbali na hilo @martinkadindaofficial amezungmzia kuhusu mavazi yake ya kijeshi aliyoingia nayo kwenye show ya swahili fashion na kusema maemuunga mkono Rais Magufuli kuhusu kuwa mzalendo na kulinda nchi yako.Click to comment
 
Blog Meets Brand