MAN CITY YAISHINDILIA ARSENAL 4-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI CARABAO CUP-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN CITY YAISHINDILIA ARSENAL 4-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI CARABAO CUP-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Manchester City imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Arsenal jana Uwanja wa Emirates, London.
Mabao ya Manchester City yalifungwa na Gabriel Jesus dakika ya tatu, Riyard Mahrez dakika ya 54, Phil Foden dakika ya 59 na Aymeric Laporte dakika ya 73, wakati la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 31.
Mechi nyingine ya Robo Fainali jana Carabao Cup, Brentford iliichaa Newcastle United 1-0 Uwanja wa Brentford Community, bao pekee la Joshua Dasilva dakika ya 66.
Michuano hiyo itaendelea leo kwa mechi mbili, Stoke City na Tottenham Hotspur Saa 2:30 Uwanja wa bet365 na Everton na Manchester United Saa 5:00 usiku Uwanja wa Goodison Park Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.