-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB


MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Mwaka wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Mpoland huyo akiwashinda Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Beki wa zamani wa Lyon, Lucy Bronze ameshinda tuzo hiyo upande wa wanawake baada ya wachezaji hao wawili kuziwezesha klabu zao kushinda mataji matatu matatu msimu wa 2019/20.
Lewandowski alishinda Bundesliga, DFB-Pokal na Champions League akiwa na Bayern, wakati Bronze alishinda Ligue 1, Coupe de France na Champions League PICHA ZAIDI GONGA HAPA


Click to comment
 
Blog Meets Brand