Lewandowski Ashinda Tuzo Mchezaji Bora Fifa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Lewandowski Ashinda Tuzo Mchezaji Bora Fifa-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MCHEZAJI wa kimataifa wa Poland anayewachezea mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, Robert Lewandowski, usiku wa jana Desmba 17, amefanikiwa kushinda Tuzo ya Mchezaji bora wa Kiume wa FIFA 2020..Utoaji  tuzo hizo umefanyika makao makuu ya shirikisho la soka duniani  (FIFA) jijini Zurich, Uswisi.

 

Mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer naye, ameshinda tuzo ya golikipa bora, na tuzo ya kocha bora amechukua Jurgen Klopp wa Liverpool.

 

Hiki ndio kikosi bora cha FIFA 2020:

 

Mlinda Mlango: Alisson Becker (Liverpool FC)

 

Mabeki: Trent Alexander-Arnold (Liverpool FC), Alphonso Davies* (FC Bayern München), Sergio Ramos (Real Madrid CF) and Virgil van Dijk (Liverpool FC).

 

Viungo: Thiago Alcântara (FC Bayern München/Liverpool FC), Kevin De Bruyne (Manchester City FC) and Joshua Kimmich (FC Bayern München).

 

Washambuliaji: Cristiano Ronaldo (Juventus FC), Robert Lewandowski (FC Bayern München) and Lionel Messi (FC Barcelona).

The post Lewandowski Ashinda Tuzo Mchezaji Bora Fifa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.