Kilichomkosesha Mwana Fa kwenye Album ya Darassa - EDUSPORTSTZ

Latest

Kilichomkosesha Mwana Fa kwenye Album ya Darassa

Mbunge wa Jimbo la Muheza na msanii wa HipHop Mwana Fa, amesema kutokana na ratiba na majukumu yake kuwa mengi nusu ya mwaka 2020 ndiyo imemfanya kukosa Album ya Darassa 'Slave Become A King'

"Nilitaka sana kuwemo kwenye hii album ratiba tu hazikunikubalia, nusu hii ya pili ya mwaka 2020 ratiba zangu zilibebwa na majukumu mengine na nimekosa kabisa muda wa kurekodi chochote, nimesikitika lakini silalamiki kwa sababu najua 'my brother' Darassa ni mtu 'serious' sana na hawezi kuniangusha, ni imani yangu tupo tayari" ameeleza Mwana Fa 

Darassa amezindua Album yake ya 'Slave Become A King' ikiwa ni ya kwanza tangu alivyoanza muziki ambayo ina jumla ya nyimbo 21 huku akiwashirikisha wasanii kama Dogo Janja, Billnass, Alikiba, Juma Nature, Rich Mavoko, Barakah The Prince, Ben Pol, Sho Madjozi, Maua Sama, Kassim Mganga, Eddy Kenzo na Wini.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.