-->

Type something and hit enter

On 


Kisima hicho kilichopo Kaole kina miaka zaidi ya 800. Maji yake hayapungui bila kujali kipindi cha Mwaka au kiasi cha maji kinachochotwa


Ajabu lingine la Kisima hiko ni kuwa, kipo karibu na Bahari lakini kinatoa maji baridi (yasiyo na chumvi) hali hiyo imeongeza Imani ya Watu wengi


Kisima hicho kilichimbwa kwa ajili ya kutawadha Waislamu, kipo pembeni mwa Msikiti wa kwanza kujengwa tangu walipoingia Washirazi
Click to comment
 
Blog Meets Brand