-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MCHEZAJI mpya wa Yanga SC, Saido Ntibanzokiza amewasili usiku wa jana na kupata mapokezi mazuri Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akitokea kwao, Burundi.Baada ya kuifungia Burundi bao pekee ikiwalaza wenyeji, Tanzania 1-0 Oktoba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa- Yanga ikamsainisha Ntibanzokiza kwa mkataba wa miaka miwili, akiwa ingizo jipya la kwanza majira ya baridi, au dirisha dogo.
Click to comment
 
Blog Meets Brand