Kenya yapiga marufuku uagizaji wa magari yaliyotumika zaidi ya miaka 8 ByPascal Mwakyoma TZA - EDUSPORTSTZ

Latest

Kenya yapiga marufuku uagizaji wa magari yaliyotumika zaidi ya miaka 8 ByPascal Mwakyoma TZA

Habari kutoka Gazeti la Standard la Kenya zinasema kuwa idara ya viwango ya Kenya imeimarisha usimamizi wa magari ya mitumba yanayoingizwa nchini humo.

Katika taarifa iliyotolewa na idara hiyo kwa waagizaji wa magari, raia wanaorejea nchini humo na wanadiplomasia  ni marufuku kuagiza magari ya zamani yaliyotumika zaidi ya miaka 8.

Utafiti wa hivi karibuni wa African Trends and Insights umesema kuwa asilimia 85 ya magari yaliyoingizwa Kenya ni magari yaliyotumika.

Mwaka wa 2019, Serikali ya Kenya ilitoa mapendekezo mfululizo ya kuchukua hatua mpya zinazolenga kulinda wanunuzi wa magari ya ndani, na kufanya iwe ngumu na ya gharama kubwa kuagiza magari ya mitumba.

Serikali ya Kenya pia imepanga kuzuia magari ya mitumba ambayo yanatarajiwa kupunguzwa kutoka miaka minane hadi miaka mitano, na kusaidia Kenya kuimarisha usimamizi wa usalama barabarani na kupunguza uchafuzi wa hewa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.