Kama Unakwenda Mkoani Kilimanjaro zingatia hili Mtu Wangu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kama Unakwenda Mkoani Kilimanjaro zingatia hili Mtu Wangu

Moshi. Jeshi la polisi Mkoani Kilimanjaro limetoa tahadhari kwa wananchi wanaoingia mkoani humo kwa ajili ya kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka likiwataka kuzingatia sheria za barabarani ili kuepuka ajali.

Hayo yameelezwa leo Ijumaa Desemba 18, 2020 na kamanda wa polisi mkoani humo, Immanuel Lukula katika mkutano wake na waandishi wa habari

Amesema hali ya usalama mpaka sasa mkoani humo  ni shwari  na kuwataka wageni wanaoingia kutoka mikoa mbalimbali na nchi jirani kutunza hali ya amani na utulivu iliyopo.

"Jeshi la polisi tuna mpango kazi mzuri, hasa kwenye kitengo cha usalama barabarani, niwasihi wana kilimanjaro kuzingatia mambo makuu mawili.”

"Moja kuelekea sikukuu hizi, nawasihi wageni waliokuja na wanaoendelea kuingia mkoani hapa kutokunywa pombe na kuendesha chombo cha moto, Pili kutoendesha mwendo kasi kwani  haya  yote yanaweza kusababisha ajali,” amesema Lukula.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.