Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Juventus jana imetoka nyuma na kuibuka na ushindi wa 2-1 Uwanja wa Allianz Jijini Torino.
Beki Mcameroon Nicolas N'Koulou alianza kuwafungia Torino dakika ya 19, kabla ya kiungo Mmarekani Weston McKennie kuisawazishia Juve dakika ya 77 na beki mkongwe wa Itali, Leonardo Bonucci kufunga la ushindi dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA