-->

Type something and hit enter

On 


STAA wa filamu za kibongo, Irene Poul amewakata vilimi mastaa wa kike wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa Bongo kama Zuwena Mohammed ’Shilole’.


Akizungumza na AMANI, Irene amesema kuwa mwanamama Shilole ni mfano wa kuigwa kwani anajua kutengeneza jina lake na ni mtafutaji kweli kweli. “ Kubali ukatae Shilole anajua kulitumia jina lake kwenye mambo ya faida, pia ni mwanamke ambaye anajua kuishi maisha yake,”alisema Irene Poul.

 Click to comment
 
Blog Meets Brand