"Ipo siku nitakuwa Rais wa Tanzania" - Haji Manara - EDUSPORTSTZ

Latest

"Ipo siku nitakuwa Rais wa Tanzania" - Haji ManaraMsemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara ametoa kali ya mwaka kwa kusema Mungu akimpa uhai na majaliwa ataenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka ijayo ila bado hajajua itakuwa lini.

Akifunguka hilo wakati anapiga stori na PlanetBongo ya East Africa Radio Haji Manara amesema kwa mfano akiwa Rais mtaji wake wa kwanza ukiacha masuala ya siasa na kazi za maendeleo ni kuwekeza kwenye mpira wa miguu.

"Mungu akinipa uhai na majaaliwa, chukueni haya maneno yangu leo, naenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mungu anipe uhai tu, sijui ni lini ila nitakuwa tu"

"Hakuna kitu kinachopendwa Tanzania kama michezo hasa mpira wa miguu, kwa mfano mimi nikiwa Rais mtaji wangu wa kwanza nje ya siasa na kazi za maendeleo nitawekeza kwenye mpira wa miguu" amesema Haji Manara 

Aidha amendelea kusema "Yanga na Simba zikishinda watu wanakimbia maandamano bila ya kulipwa au kuvalishwa fulana, angalia Simba tunapoenda mikoani ile sapoti tunayopata kwa mashabiki hata nikipata fursa ya kuzungumza na Rais nitamuachia maneno hayo"Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.