Haya Ndiyo Majimbo Aliyoyatarajia Prof. Ibrahim Lipumba - EDUSPORTSTZ

Latest

Haya Ndiyo Majimbo Aliyoyatarajia Prof. Ibrahim Lipumba

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUf), Prof. Ibrahim Lipumba amezindua  rasmi kongamano  lenye lengo la kutetea maslahi na haki za wananchi nakusema kuwa uchaguzi wa mwaka huu alitegemea kuchukua viti 15 kwa upande wa ubunge.

Akizungumza katika uzinduzi wa kongamano hilo la Kudai katiba mpya, Mwenyekiti wa CUF,  Prof. Ibrahim Lipumba ambaye alikuwa mgeni rasmi amelishukuru jeshi la polisi nchini kwa kuwaacha kuendelea na kongamano lao huku akihimiza kuzingatiwa kwa demokrasia nchini .

"Mkoa wa Kilimanjaro wamekuwa wanatoa wabunge wa upinzani lakini mwaka huu majimbo yote yamechukuliwa na wote wameenda kuunga juhudi, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 mimi nilikuwa na uhakika tutapata walau viti 15 vya ubunge" amesema Prof. Lipumba

Aidha Prof.Lipumba amemuomba  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kuanza kusikiliza hoja za watanzania kuhusiana na suala la katiba mpya.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.