Hatimaye Chidi Benz aichia video yake na 2Pac - EDUSPORTSTZ

Latest

Hatimaye Chidi Benz aichia video yake na 2Pac

Hatimaye msanii wa HipHop Chidi Benz ameachia ule wimbo wake 'Dont Cry'  ambao alisema amefanya na mkali wa HipHop duniani 2Pac Shakur ambaye amefariki dunia kwa kupigwa risasi 1996.

Chidi Benz ameachia wimbo huo kwenye mtandao wa YouTube na baadhi ya vipande vya video fupi ambavyo amevi-post kwenye ukurasa wake wa Instagram.

"Habari zenu kwa mara kwanza naangalia watu wanasemaje kuhusu kazi, naona watu 106 wamekubali na mtu mmoja hajakubali, kitu kikubwa maisha yote nashukuru Mungu kwa kufanikisha na kujiona mtu wa watu" ameandika Chidi Benz

Chidi Benz ni mmoja wa wasanii wa HipHop ambao wanakubalika sana hapa nchini na tayari ameshafanya kazi nyingi zilizofanya vizuri ndani na nje ya Tanzania.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.