“Hakuna madhara usipooga” Daktari aliekaa miaka 5 bila kuoga - EDUSPORTSTZ

Latest

“Hakuna madhara usipooga” Daktari aliekaa miaka 5 bila kuoga

 James Hamblin ni daktari wa Marekani ambaye amekaa bila kuoga tangu mwaka 2015 akifanya utafiti wa kuona kama kuna madhara ya mtu kutooga mara kwa mara.

Amegundua hakuna madhara, harufu hutokana na bakteria kula mafuta yanayotolewa na mwili hivyo mtu akiacha kuoga kwa muda mrefu mwili unaacha kutoa mafuta, hivyo anakuwa hatoi harufu.

Anasema, mwanadamu hutumia wastani wa miaka miwili kuoga, muda ambao anaweza kuutumia kukuza Uchumi. Hata hivyo anasisitiza kunawa mikono na sabuni.

Hamblin ana umri wa miaka 37, na ni mtaalamu aliyesomea katika Chuo Kikuu cha Yale, Kitengo cha Huduma ya Afya ya Umma na ni Daktari Bingwa wa Tiba ya Kuzuia Magonjwa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.