-->

Type something and hit enter

On
Kwa mara ya kwanza naona koffi olomide kafanya collabo na mtu halafu anarudia kuipost kila mara kwanza followers wake wameongezeka ghafla, kapata fans wa kizazi kipya hadi ulaya huo ambao ukiangalia reaction za youtube wengine walikuwa hawamjui olomide


Bella alifanya nyimbo na koffi tena kwenye studio ya olomide kinshasa ikapotelea hewani na wala koffi hakuangaika ku ipost, juzi P didy kamfollow diamond instagram leo naona Janet jackson kapost nyimbo ingawa ni kwa angle ya wale madogo wa masaka wana dance its just a matter of time na yeye atamjua mwenye nyimbo ni nani


Olomide naye keshatupia link ya janet jackson kwenye page yake,dooo hatare sanaClick to comment
 
Blog Meets Brand