Chin Bees Awadhihaki Wanaofanya Muziki wa Trap - EDUSPORTSTZ

Latest

Chin Bees Awadhihaki Wanaofanya Muziki wa Trap

Licha ya wakali wote wanaofanya muziki wa Trap Bongo kama Country Boy, Moni Centrozone, Young Lunya na wengineo lakini bado Chin Bees amesema kwa sasa bado hajaona msanii anayefanya muziki huo labda watokee wasanii wengine.

Akizungumza hayo kupitia show ya Friday Night Live ya East Africa TV Chin Bees amesema "Mpaka sasa sijasikia mtu anafanya Trap ila naona watu wanarap, labda wakitokea wasanii wapya lakini kwa sasa sioni mtu anayefanya muziki wa Trap"

"Kila kazi yangu ninayoitoa mimi inashika namba moja kuanzia kwenye Nesanesa, Nasebenza, Nyonga nyonga nimeanza zamani na sasahivi nina kampuni yangu ya BGE ndiyo maana kazi zangu za sasa ni tofauti na zamani".

Aidha Chin Bees ambaye anajiita mfalme wa muziki huo 'King Of Trap' amesema ameamua kuachana na lebo yake ya zamani kwa sababu anataka kusimama mwenyewe.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.