-->

Type something and hit enter

On
Cardi B amempatia mumewe rapa Offset zawadi ya gari aina ya Lamborghini Aventador SVJ ya mwaka 2021. Offset jana alikuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Gari hiyo ina thamani ya ($517K) ambazo ni sawa na TSH. Bilioni 1.2.


Mwezi Oktoba mwaka huu Offset alimnunulia Cardi B zawadi ya gari aina ya Rolls Royce Cullinan iliyorudisha penzi lao baada ya kutengana.Click to comment
 
Blog Meets Brand