Bondia Mrembo Mbaroni Kwa Kumuua Mumewe-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Bondia Mrembo Mbaroni Kwa Kumuua Mumewe-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

BONDIA mwanamama wa ngumi za kulipwa nchini Brazil ambaye alipigania mara tatu ubingwa wa dunia, Vviane Obenauf anashikiliwa na Jeshi la Polisi la nchini Sweden kwa tuhuma za kumuua mume wake.

 

Viviane ambaye ni mzaliwa wa Brazil mwenye umri wa miaka 34, anatuhumiwa kumpiga mumewe tajiri anayefahamika kwa jina la Thomas raia wa Uswisi hadi kufa katika mgahawa wake huko Sweden.

Kulingana na taarifa kutoka Sports Boxing na Boxing Scene zinasema, bondia huyo alikamatwa mapema na maofisa polisi ambao wanaendelea na uchunguzi ili kubaini kama kweli alihusika na majeraha yaliyokutwa kwenye mwili wa mumewe huyo.

 

Viviane anatajwa kuwa moja kati ya mabondia wakorofi nje ya ulingo kwani hii siyo mara ya kwanza yeye kuhusika na vurugu, pia alishawahi kumchapa mchumba wake wa zamani huko London, England baada ya kumzingua kwenye sherehe za siku yake ya kuzaliwa.

The post Bondia Mrembo Mbaroni Kwa Kumuua Mumewe appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.