Bila uoga, Marioo amjibu kiutu uzima Harmonize - EDUSPORTSTZ

Latest

Bila uoga, Marioo amjibu kiutu uzima HarmonizeMsanii Marioo ameipinga kauli ya msanii na 'boss' la lebo ya Konde Gang Harmonize kwa kusema wimbo wake wa Ushamba ndiyo wimbo bora kati ya nyimbo zote zilizotoka mwezi Novemba.

Marioo amesema wakati Harmonize anatoa kauli hiyo wimbo wake 'mama amina' ulikuwa haujatoka ila ingetoka asingeweza kusema hivyo.

"Wimbo wangu umetoka mwezi wa 11 una wiki sasa, kipindi kile anasema hivyo wimbo wangu ulikuwa bado haujatoka kama ingetoka sidhani kama angeweza kuongea vile, dude langu hili ni 'hit song' na la moto kuliko magoma yote yaliyotoka sasa hivi" amesema MariooJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.